Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nimekuja
Hao wanaomsukuma wenyewe nao huo ujasiri wa kumwambia hiyo habari ya nyanya hawana. 😀😀
Mpendwa unatutisha, usiku huu ujue.View attachment 1379314
🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Mpendwa unatutishaView attachment 1379314
🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Sura yangu inatisha mpendwa hii picha imenivutia niweke kwenye avatar yangu 😀😀😀😀Mpendwa unatutisha, usiku huu ujue.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mweee anko dhambi hizi,huko majaribuni. Tumkemee shetani eti ee
Kwamba natishaMpendwa unatutisha
Mpendwa mbona Mungu kakupendelea ila unataka kumshushuaKwamba natisha
Tafadhali mpendwa, usiweke hiyo bana! 😀 😀Sura yangu inatisha mpendwa hii picha imenivutia niweke kwenye avatar yangu 😀😀😀😀
Hapana nashangaa wapendwa mnaniogopa.Mpendwa mbona Mungu kakupendelea ila unataka kumshushua