Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Uzi huu haujawahi kumuacha mtu salama...Enzi hizo anne alikuaga bingwa wa kutuimbia mapambio saiv mzee wa kuomba vichwa ,miguu ya mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mlokole kindakindaki, mfukuza mapepo, mfufua wafu, mponyaji....leo hii utafikiri siyo yeye kha !!!
Shetani ashindweeee. We need our saint back [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]