Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Uzi huu haujawahi kumuacha mtu salama...Enzi hizo anne alikuaga bingwa wa kutuimbia mapambio saiv mzee wa kuomba vichwa ,miguu ya mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe unataka kuweka yote?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila nyie vichaa sana kwakweli
[emoji23][emoji23][emoji23]Wameniita wenyewe halafu wanalalamika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nilijipitia kimya nikipongeza juhudi za kijana,wao wamenichokoza
[emoji23][emoji23][emoji23]Ofkoz sasa queen wetu ukapotea daah aunt najitahidi kulinda ila kijana ana mguu wa kutetemesha anne,macho ga kumshua hawachi ,kucha za kusababisha uzinduzi bagesh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani zile pamba masikioni ulishazitoa?πππππ kwahiyo jimbo langu ndio linapigwa mnada kama hivyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie wa pili. Ila nimemiss nyuzi za uzinduziHehhe
Nitakuwa mchangiaji wa kwanza kabisa
Wenyewe wanasemaga eti haina mabega [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Weka yooteee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe si ndo mwizi mwenyewe,si eti eeh?[emoji16][emoji16]
Utaoga mitusi kule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunawasubiria ila mkifungwa naenda kule jukwaa husika kuwatoa povu zaidi
Macho yaliyolegeza watu[emoji23][emoji23]Kama macho yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujui wakati wewe umenifundisha kuangalia miguu ya wachezaj[emoji23]Hata mimi sijui kwakweli[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kicheko ni afyaπππππ leo nacheka tu
Mimi sipo kwenye hiyo listi[emoji16]Numbisa ,carba na Davet.
Yesu akirudi Hawa watakuwa na la kujibu[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wameniita wenyewe halafu wanalalamika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nilijipitia kimya nikipongeza juhudi za kijana,wao wamenichokoza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa ,carba na Davet.
Yesu akirudi Hawa watakuwa na la kujibu[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamoo mkuuAisee
Sante unnieHii inafaa kwa matumizi mengi moja kudownload korean drama
Kuingia JF
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nondo wapiii ubishi tu ili mradi wakasirike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikaangalie nondo zako binti mpole
Sent using Jamii Forums mobile app