Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hahah haya sawa, nimeacha kukomplein kuanzia leo
Ndio, kwenye dunia hii hii... utapata kinaitwa vingine lakini sio "unyumba mwema".
Kwahiyo hautakiwi kukompleini kutopata " unyumba mwema" kwa mchumba[emoji3]