Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Ndio, kwenye dunia hii hii... utapata kinaitwa vingine lakini sio "unyumba mwema".
Kwahiyo hautakiwi kukompleini kutopata " unyumba mwema" kwa mchumba[emoji3]
Kwema TH? Habar za masiku?Hahahah
Unataka mtoto wa watu ajitume kabla ya ndoa?Hahah haya sawa, nimeacha kukomplein kuanzia leo
Ajitumie nini tena Naddy? [emoji16][emoji16]Unataka mtoto wa watu ajitume kabla ya ndoa?
Numbisa ,carba na Davet.
Yesu akirudi Hawa watakuwa na la kujibu[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
"Unyumba mwema"Ajitumie nini tena Naddy? [emoji16][emoji16]
Upo sawa NaddyYes.. sio unataka unyumba mwema kwa mchumba!
Liverpool baba lao[emoji7][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaanza kurudi kwenye mahubiri ambayo ulishaanza kuyasaliti[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataweza kweli?