moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
WanazifutaHuu uzi unanichoshaga kwenye picha tu, kuna picha naziona kwa juu nikiufungua uzi wenyewe nazitafuta weee sizioni [emoji25]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wewe unapotea kama jua la masika lazima patikiswe uamkepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani auntie, kijana wako kanishinda[emoji22][emoji22]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani mie hata kuchapa likes tu kwa comments 200+ bado siwezi maana bado naona ni nyingi,, niliweza hivyo kwenye uzi wa selfie pekee na hadi leo najishangaa na sidhani kama nitakuja kuweza tena kwenye uzi mwingine wowote ule.. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila stella asingeomba mguu kama mpendwa hakumsifia sana KD.
Tuseme tu ukweli mpendwa alimsifia mnoo mswati[emoji23][emoji23]
Kwahiyo leo tunakutana m.city??[emoji126][emoji126]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uroda ina numbisa's voice[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiuzoea huu uzi likes 200 ndogo sana unachapa hata 1000