Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuvunjikwma kwa nyundo siyo mwisho wa ujenzi.
Furaha inaendelea
FB_IMG_1583591716467.jpeg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani mie hata kuchapa likes tu kwa comments 200+ bado siwezi maana bado naona ni nyingi,, niliweza hivyo kwenye uzi wa selfie pekee na hadi leo najishangaa na sidhani kama nitakuja kuweza tena kwenye uzi mwingine wowote ule.. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanzoni tulipata shida ila saiv tumezoea kuna saa hatusomi comments tunachapa likes tu
 
Back
Top Bottom