myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
17:59
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati wewe kiongozi😀😀😀😀 Akishakutana Numbisa na Carba humu basi tunapata tabu ata sisi
Kazi yake kubariki kimya kimya bila kuleta muweweseko ila wewe unasababisha kelele kama tetemeko la ardhi😂😂😂 chama cha utoaji baraka( CCUB) jamani kwa kazi yake nini?
😂😂😂😂 mara nyingi nakuaga mchekaji tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati wewe kiongozi
🤣🤣🤣🤣🤣 tuvumiliane tu siunajua chama kilipata member wapya ambao walikua hawajazoea, ila sasa hivi tunapoendelea hakutakua na fujo tenaKazi yake kubariki kimya kimya bila kuleta muweweseko ila wewe unasababisha kelele kama tetemeko la ardhi
Hivi unyumba huwa ni nini bro?Unaweza kupata mchumba na usiweze kupata unyumba mwema
Duh! Noma sanaChafua midundo kama goli ndani ya boxer
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤣🤣🤣🤣🤣 tuvumiliane tu siunajua chama kilipata member wapya ambao walikua hawajazoea, ila sasa hivi tunapoendelea hakutakua na fujo tena
AiseeUkweni...
View attachment 1379925
Kakichwa....Jioni ya kichwa tu
Wewe ndo mwenye jimbo ujue?mmmh sio kwa purukushani hizi
#Yatanishinda
Asante dear kwa kunitetea naanzaje kwa mfano kuwa kiranja
Stereo huyo mzee,,,kitu kinaitwa SwahiliDuh! Noma sana
Mie najua kabisa wanakusingizia hawa😀
Mzee mwenzangu [emoji16]Hivi unyumba huwa ni nini bro?