Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mpendwa alisifia siku moja ila anne wetu uwiiii kila siku mguu hivi mguu vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpendwa alisifia siku moja ila anne wetu uwiiii kila siku mguu hivi mguu vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na uhenga wangu huu jumlisha wajukuu nawezaje kumnyakua.
Asante mpendwa kwa kunitetea mwenye mali kafika anajitetea😀😀😀Mpendwa alisifia siku moja ila anne wetu uwiiii kila siku mguu hivi mguu vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante 🙏🙏Poleni wa daladala..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante mpendwa kwa kunitetea mwenye mali kafika anajitetea😀😀😀
He! Jirani umewahi
Nimeiokota tu. Hela ndedu hizo jiraniHe! Jirani umewahi
Jioni ya kichwa tuJioni ya kujitetea
😀😀😀😀 Akishakutana Numbisa na Carba humu basi tunapata tabu ata sisiDuuh huu uzi unakimbia aisee,, yaani huwa natamani nipitie comment moja moja humu ila kila nikitoka nikirudi nakuta comments 200+ duuh..
😂😂😂 chama cha utoaji baraka( CCUB) jamani kwa kazi yake nini?Inlaw mwenyewe anajiweka sokoni utadhani msimu wa karoti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]