Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maguire hakuwepo kwenye mchezo wa Kombe la FA dhidi ya Derby County ya Wayne Rooney juzi Alhamisi, huku Wan-Bissaka ikielezwa kuwa alipata maumivu kwenye mechi dhidi ya Everton ambayo iliisha kwa sare ya bao 1-1.
 
Kwa upande wake Guardiola kikosi chake kinaonekana kiko kamili kumkabili Solskjaer huku ikiwategemea zaidi nyota wake, Kelvin De Bryune, Kun Aguero, David Silva na Bernado ambao wamekuwa kwenye kiwango kizuri kwa sasa.
 
Hata hivyo, ilisukumwa nje ya michuano hiyo kutokana na kukubali kipigo cha mabao 3-1 kwenye mchezo wa awali uliopigwa Old Trafford.
Kwenye kipute kingine ambacho kitapigwa leo Jumapili, Frank Lampard atakutana uso kwa uso na kocha wake wa zamani.
 
Ndio, Chelsea itaikaribisha Everton inayonolewa na Carlo Ancelotti, ambaye alikuwa kocha wa Chelsea akimfundisha Lampard.
Ancelotti aliinoa Chelsea kabla ya kufutwa kazi na Roman Abramovich na alimfanya Lampard kuwa mmoja wa mastaa wake muhimu.
 
Lampard tangu amepewa kibarua cha kuinoa Chelsea amekuwa na matokeo mazuri na juzi ametoka kumchapa kocha wake wa zamani, Jose Mourinho ambaye anainoa Tottenham Hotspurs walipokutana kwenye mechi ya Ligi Kuu England.
Hivyo, Ancelotti ambaye mechi yake ya mwisho alikutana na Man United na matokeo kuwa sare ya baoa 1-1, ataingiza vijana wake Darajani akiwa na tahadhari kubwa.
 
STAA wa Real Madrid, Vinicius Junior amefunguka sababu za beki wa kati wa Barcelona, Gerard Pique kumuita chizi wakati wa pambano la El Clasico ambalo lilizikutanisha timu hizo kubwa Hispania na Madridi kushinda 2-0.
 
Back
Top Bottom