moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kwani mmefungwa ngapi Moudy?
Kwani mmefungwa ngapi Moudy?
πππKufungwa kunauma, asikudanganye mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Taratibu taratibu atajifunza kulinda hisia
SYB anaingiaje tena hapa kamanda?
Ana hasira sana ama?
ππππ acha tu bro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha tu bro
Kwavile manchester ni red na yanga ni vyura,ka blessing si kanakuja baadae eeh??[emoji1][emoji1]Manchester is Red
ππππKumbuka zile salaam zake za mwaka mpya, alilalamikia mashabiki wa Liverpool kwamba tunashangilia sana.
Na nimeona ameongea kwa hisia mpaka niliogopa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwavile manchester ni red na yanga ni vyura,ka blessing si kanakuja baadae eeh??[emoji1][emoji1]
Vijana michele michele wananiharibia siku tu
Hahah kwann sasa[emoji20][emoji20][emoji20][emoji17][emoji17][emoji17]View attachment 1381313