Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cheiiiii
Kwani mmefungwa ngapi Moudy?Siwezi kuwa na hasira kama SYB, mpira naujua vema.
Tanieni mnavyoweza nakuchukulie poa tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana bro😀😀 pole mkuu
Hizo tabia zote ninazo ila hatupo kwenye kundi la introvert. Google uone. Huu ugonjwa hatari sana. Kuchat tu wanaona kazi mno.Introvert wengi wamejaa humu kuchat.
Hii Ni sehemu pekee inayowafanya wainteract na watu.
Hii Ni kwa sababu mtaani hawana marafiki kabisa.
Mtaa ninaokaa sifahamiki kabisa ,kwa sababu Ni nadra kunikuta nje..ukiniona basi ni ibadani.
Nimetoka juzi kwenda mjini pharmacy,kuna dawa nilienda kuisaka.
Picha kwa kiasi kikubwa nimebadilika, nadhani hata ule uzi umechangia Mimi kubadilika na kuwa hivi.
Ilikuwa inapita hata nusu mwaka sijawaji kupiga picha
Ukinikuta hivi ana kwa ana hutaamini Kama Ni Mimi huyu maenye maneno Mia humu..
Nikiwa nyumbani sometimes wananifosi nikae sebuleni kupiga story maana muda mwingi Ni jikoni na chumbani
Mtaani na shule sipendi kuinteract na watu kabisa na Sina rafiki,wengi wanashindwa kucopy na hii style yangu ya Maisha.
Nadhani hobby yangu Ni kuimba na ninapenda sana kuimba hasa mumwimbia Mungu.
Familia yangu ya kusifu na kuabudu mambo yote ya ibada nitaparticipate ila huji kunikuta napiga story au nimeenda kwenye sherehe ya mtu,mara wamebaki kupiga picha au kutembea kwa pamoja taratibu nilishashindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo vizuri tatizo lao wanakosa tu ile winning consistency
Dah sijui nimeiweka wapi tulifanya kwenye training moja hivi ya Team work kujua characters za watu mbalimbali na jinsi ya kufanya nao kazi...
Basi hao Ni wagonjwa.Hizo tabia zote ninazo ila hatupo kwenye kundi la introvert. Google uone. Huu ugonjwa hatari sana. Kuchat tu wanaona kazi mno.
NitatafutaDah sijui nimeiweka wapi tulifanya kwenye training moja hivi ya Team work kujua characters za watu mbalimbali na jinsi ya kufanya nao kazi...
Ila online zipo andika tu introvert extrovert test zitakuja.. ila hizo sijui ufanisi wake
Hahah! Taratibu taratibu atajifunza kulinda hisiaJamaa huwa anapanic[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bageshiiiiii assist goalkeeper[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1381288
Scott 🏹[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1381287
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu hukoNipo,mimi hapa[emoji16]
Wabhejaa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeHutaki ama?[emoji23][emoji23][emoji23]