Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Saint Anne njoo huku nakuita
tapatalk_1583690726875.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapa ndo moudy huwa anapawezea hana hasira
Machungu na hasira anavyo ila tu anajua kujizuia na anajua kwenda sawa na wapinzani wake. Mfano angalia post zake za sasa hivi anajipondea kuwa Simba ni Paka wakati kabla ya mechi alikua anajiona ni Simba wa kweli. Hiyo ni mbinu ya kuwafanya wapinzani wasiendelee kumshikia Bango
 
Anne wewe sio introvert

1.hawana mazoea na watu (mitandaon hawachati sana,wala mitaani hawana pilikapilika)

2.selfie na picha kwao ni mwiko huwakuti kabisaaa wakijipiga picha

3.hawajichanganyi popote pale,nadra sana kuwaona sehemu za ibada

4. Wakiwa sehemu za watu wengi ni wa mwisho kuitikia au kuchangia jambo,huwakuti wakiimba
Introvert wengi wamejaa humu kuchat.
Hii Ni sehemu pekee inayowafanya wainteract na watu.
Hii Ni kwa sababu mtaani hawana marafiki kabisa.
Mtaa ninaokaa sifahamiki kabisa ,kwa sababu Ni nadra kunikuta nje..ukiniona basi ni ibadani.
Nimetoka juzi kwenda mjini pharmacy,kuna dawa nilienda kuisaka.

Picha kwa kiasi kikubwa nimebadilika, nadhani hata ule uzi umechangia Mimi kubadilika na kuwa hivi.
Ilikuwa inapita hata nusu mwaka sijawaji kupiga picha

Ukinikuta hivi ana kwa ana hutaamini Kama Ni Mimi huyu maenye maneno Mia humu..

Nikiwa nyumbani sometimes wananifosi nikae sebuleni kupiga story maana muda mwingi Ni jikoni na chumbani

Mtaani na shule sipendi kuinteract na watu kabisa na Sina rafiki,wengi wanashindwa kucopy na hii style yangu ya Maisha.

Nadhani hobby yangu Ni kuimba na ninapenda sana kuimba hasa mumwimbia Mungu.
Familia yangu ya kusifu na kuabudu mambo yote ya ibada nitaparticipate ila huji kunikuta napiga story au nimeenda kwenye sherehe ya mtu,mara wamebaki kupiga picha au kutembea kwa pamoja taratibu nilishashindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah! Wewe Anne wewe mpumzishe Moud bwana.....

Ila hongera sana kwa ushindi uliopata, leo nimebahatika kuangalia game yenu yani achilia mbali ushindi pia ata mpira mmeucheza sana. Mashabiki wa Simba huwa wanaiongelea timu yao kwa ukubwa sana lakini kumbe wakawaida sana
Hilo ni tatizo kwa vilabu vyetu vya soka
baby_ake_20200308_4.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mtu ambaye ni antsocial ana sifa zipi??
Introvert wengi wamejaa humu kuchat.
Hii Ni sehemu pekee inayowafanya wainteract na watu.
Hii Ni kwa sababu mtaani hawana marafiki kabisa.
Mtaa ninaokaa sifahamiki kabisa ,kwa sababu Ni nadra kunikuta nje..ukiniona basi ni ibadani.
Nimetoka juzi kwenda mjini pharmacy,kuna dawa nilienda kuisaka.

Picha kwa kiasi kikubwa nimebadilika, nadhani hata ule uzi umechangia Mimi kubadilika na kuwa hivi.
Ilikuwa inapita hata nusu mwaka sijawaji kupiga picha

Ukinikuta hivi ana kwa ana hutaamini Kama Ni Mimi huyu maenye maneno Mia humu..

Nikiwa nyumbani sometimes wananifosi nikae sebuleni kupiga story maana muda mwingi Ni jikoni na chumbani

Mtaani na shule sipendi kuinteract na watu kabisa na Sina rafiki,wengi wanashindwa kucopy na hii style yangu ya Maisha.

Nadhani hobby yangu Ni kuimba na ninapenda sana kuimba hasa mumwimbia Mungu.
Familia yangu ya kusifu na kuabudu mambo yote ya ibada nitaparticipate ila huji kunikuta napiga story au nimeenda kwenye sherehe ya mtu,mara wamebaki kupiga picha au kutembea kwa pamoja taratibu nilishashindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Introvert wengi wamejaa humu kuchat.
Hii Ni sehemu pekee inayowafanya wainteract na watu.
Hii Ni kwa sababu mtaani hawana marafiki kabisa.
Mtaa ninaokaa sifahamiki kabisa ,kwa sababu Ni nadra kunikuta nje..ukiniona basi ni ibadani.
Nimetoka juzi kwenda mjini pharmacy,kuna dawa nilienda kuisaka.

Picha kwa kiasi kikubwa nimebadilika, nadhani hata ule uzi umechangia Mimi kubadilika na kuwa hivi.
Ilikuwa inapita hata nusu mwaka sijawaji kupiga picha

Ukinikuta hivi ana kwa ana hutaamini Kama Ni Mimi huyu maenye maneno Mia humu..

Nikiwa nyumbani sometimes wananifosi nikae sebuleni kupiga story maana muda mwingi Ni jikoni na chumbani

Mtaani na shule sipendi kuinteract na watu kabisa na Sina rafiki,wengi wanashindwa kucopy na hii style yangu ya Maisha.

Nadhani hobby yangu Ni kuimba na ninapenda sana kuimba hasa mumwimbia Mungu.
Familia yangu ya kusifu na kuabudu mambo yote ya ibada nitaparticipate ila huji kunikuta napiga story au nimeenda kwenye sherehe ya mtu,mara wamebaki kupiga picha au kutembea kwa pamoja taratibu nilishashindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna test ya kufanya kujua wewe ni intro au extro
Umeifanya? Haufit kabisaaa kuwa introvert wewe
 
Back
Top Bottom