Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.26025047730225331E18.jpg
 
Bro inawezekanaje hilo, kungekuwa na kitu kama hicho wangeshinda bao zaidi ya 5

Sent using Jamii Forums mobile app
Bro kushinda mabao mengi haimaanishi kwamba wachezaji walikua bora au sio bora,

angalia jinsi Simba inaongelewa kiwango chake, ubora wa wachezaji wake, gharama ya kikosi chao, maisha wanayoishi kama timu ukilinganisha na Yanga kuna tofauti kubwa sana. Sasa ukija kiwanjani kwenye mchezo wenyewe jinsi Yanga walicheza ma matokeo walipata utagundua kila mchezaji alitekeleza majukumu yake kwa 90+%

Mimi binafsi napata wakati mgumu kuchagua Mfale wa ule mchezo
 
Hivi mnapimaje ubora wa wachezaji, kwamba mchezaji akinunuliwa kwa hela nyingi na kulipwa mshahara mkubwa na kulipwa malupulupu mengi ndiye mwenye uwezo mzuri?
Mi siamini ubora wa wachezaji wa Simba unaotajwa kwenye vyombo vya habari.
Kama Simba wana kikosi bora basi wamekosa kocha bora.
Vinginevyo nionavyo timu za Tanzania zina wachezaji wenye uwezo unaofanana.
Mara nyingi tunadanganywa kwamba wachezaji wa nje ya Tanzania ndiyo wenye uwezo, mi siamini dhana hiyo bro
Bro kushinda mabao mengi haimaanishi kwamba wachezaji walikua bora au sio bora,

angalia jinsi Simba inaongelewa kiwango chake, ubora wa wachezaji wake, gharama ya kikosi chao, maisha wanayoishi kama timu ukilinganisha na Yanga kuna tofauti kubwa sana. Sasa ukija kiwanjani kwenye mchezo wenyewe jinsi Yanga walicheza ma matokeo walipata utagundua kila mchezaji alitekeleza majukumu yake kwa 90+%

Mimi binafsi napata wakati mgumu kuchagua Mfale wa ule mchezo
 
Ningekuwa na uwezo nyie ningewakutanisha laivu tuone itakuwaje [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ester hawezi kupambana na huyo kijana, huyo kijana anaongea mashine ya kusaga nyuma.Kuna mitaa nimemuona amejirekodi anamchamba Zebosiledi... Jamaniii!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom