carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Nimewashika leo[emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ningekuwa na uwezo nyie ningewakutanisha laivu tuone itakuwaje [emoji16][emoji16][emoji16]
Bro kushinda mabao mengi haimaanishi kwamba wachezaji walikua bora au sio bora,Bro inawezekanaje hilo, kungekuwa na kitu kama hicho wangeshinda bao zaidi ya 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooh! Queen huyoooo πWacha bhanaView attachment 1381949
πππππUkipata nini??[emoji23][emoji23]
πππ[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! IndeedHe died like a man [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahah! Hili gazeti la Yanga nini mbona lina kauli nzito nzito sana? π€£π€£
πππ umeikwaa scandalWaaah[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Bro kushinda mabao mengi haimaanishi kwamba wachezaji walikua bora au sio bora,
angalia jinsi Simba inaongelewa kiwango chake, ubora wa wachezaji wake, gharama ya kikosi chao, maisha wanayoishi kama timu ukilinganisha na Yanga kuna tofauti kubwa sana. Sasa ukija kiwanjani kwenye mchezo wenyewe jinsi Yanga walicheza ma matokeo walipata utagundua kila mchezaji alitekeleza majukumu yake kwa 90+%
Mimi binafsi napata wakati mgumu kuchagua Mfale wa ule mchezo
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ningekuwa na uwezo nyie ningewakutanisha laivu tuone itakuwaje [emoji16][emoji16][emoji16]
Numbisa na mtanashati mnanivunja mbavu zangu Mimi[emoji23]Same here
ππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kijamaa eti hakijali lakini kimekurupuka huko mpaka hapa kula likes kwa kisingizio cha kujibu mashambulizi