Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sasa bro kweli utanunua mchezaji kwa gharama kubwa kisha umpe mshahara mkubwa na malupulupu ya kutosha alafu asiwe na ubora?

Mimi binafsi naona mchango mkubwa wa wachezaji wa kigeni katika ligi yetu pia ata viwango huwezi kulinganisha na wazawa, nchi yetu soccer lake lipo chini sana na hawa jamaa uwepo wao unasaidia sana kutuinua.....
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ester hawezi kupambana na huyo kijana, huyo kijana anaongea mashine ya kusaga nyuma.Kuna mitaa nimemuona amejirekodi anamchamba Zebosiledi... Jamaniii!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Esta sema tu siku hizi kapoa sana hana purukushani kama zamani. Enzi zile kanifanya mpaka nikampa urolo modo bila kuombwa huyu dogo mbona angekalishwa tu asubuhi na mapema? Kabadilika sana sijui ni ndoa au kaokoka but something big is up...All is good though [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…