Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KOSA #2.Kutumia vifaa chakavu na sabuni au gel ambazo si sahihi kwa kunyolea .
Ujawahi kuona mtu anatumia sabuni ya kipande au wembe chakavu kunyolea?.
Mtu kama huyu awezi kosa vipele kwenye ngozi ,tumia vifaa sahihi kunyolea kama vile cream za kunyolea na kifaa sahihi kunyolea
 
KOSA #4 Kuogopa kila hatua ya maumivu ya bikini ya kunyolea<bikini wax>.
Bikini wax ni kifaa cha kunyolea sehemu za siri kinachovaliwa na wanawake kunyole.Husababisha maumivu wakati wa kuvua kwa maana hiyo watu hushindwa kuvumila na kuwapelekea kutofuata maelekezo vyema.
 
KOSA #6.Kutumia mafuta ya mwili ya kawaida kulainisha ngozi iliyo nyolewa.
Kuna mafuta maalum ya kulainisha ngozi iliyonyolewa <after shave lotion> amnayo hulainisha na kutunza ngozi iliyonyolewa zidi ya bacteria na fungus.Acha kutumia mafuta ya kawaida ya mwili kwa kua ni rahisi kupata fungus na vipele
 
Hivi wapo wa dizaini hiyo wanakuja huku kutusanifu wakidhani/wakijua sisi ni alosito, eeh? [emoji3] [emoji3]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Na sisi tumezidi uzito midomo yetu.
Kwenye siasa kwa magriti sinka hatuonekani, hata tukionekana ni komenti moja mbiooo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom