Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
π€£π€£π€£π€£[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hivi wapo wa dizaini hiyo wanakuja huku kutusanifu wakidhani/wakijua sisi ni alosito, eeh? [emoji3] [emoji3]
ππDuh kama chai. Huo mkono sijaona kucha ningekusingizia ni wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πBila picha hainogiKOSA #2.Kutumia vifaa chakavu na sabuni au gel ambazo si sahihi kwa kunyolea .
Ujawahi kuona mtu anatumia sabuni ya kipande au wembe chakavu kunyolea?.
Mtu kama huyu awezi kosa vipele kwenye ngozi ,tumia vifaa sahihi kunyolea kama vile cream za kunyolea na kifaa sahihi kunyolea
Ata sijui kwakweli...... vipi ulishawahi kutumia?Hivi wanatia nini humo ndani?
Mmh ili iweje?Ata sijui kwakweli...... vipi ulishawahi kutumia?
πππ jamaniMAKOSA 7 TUNAYOFANYA WAKATI WA KUNYOA SEHEMU ZA SIRI
Tuanze moja kwa moja kwamba si kosa kunyoa au kuacha nywele zetu za sehemu za siri.
Ukilaza wembe husaidia kukwepa maumivu. Twende Ankoo, nakazia tuKOSA #5.Kunyoa nywele kavu haraka.
Si vyema kunyoa nywele kavu kwa kua nywele hizo hua ngumu na hivyo husababisha maumivu wakati wa kunyoa na pia baada.
Labda ujue radha yakeMmh ili iweje?
Ukivaa ya nylon inatengeneza joto, jasho likianza kutoka kuna washaaaa...KOSA #7:Kuvaa chupi au kofuli isiyosahihi baada kunyoa.
Baada ya kunyoa unashauriwa kuvaa kofuli ya cotton 100% ambayo haibani mwili,ili kuruhusu ngozi yako kupumua na kuruhusu nywele kukua
ππ
Ladha ya alkasusu? Si wanakunywa wanaume hiyo? Au na wanawake?Labda ujue radha yake