Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro mwaka 1993 ulikuwa na umri gani?
Nataka nikwambie bro, huo ndiyo mwaka ambao Simba ilikuwa na kikosi bora kuliko wakati wote, haikuwa na Manula ilikuwa na Mwameja, haikuwa na Wawa ilikuwa na Masatu, haikuwa na Chama ilikuwa na Ramadhani Leny, haikuwa na Kagere wala Kahata ilikuwa na Edward Chumila na Malota Soma.
Bro mafanikio yote ya Simba yalikuwa mwaka huo, rekodi za Simba za mwaka huo hazijavunjwa.
Lakini kikosi kikali cha Simba mwaka huo kilikuwa cha wazawa watupu.
Bro siyo kweli kwamba kila mchezaji anayenunuliwa kwa bei chafu huwa na uwezo mkubwa, haipo hivyo Duniani kote, kulithibitisha hilo nina ushahidi mwingi tu ukipenda nitauweka hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah! Bro 93 zamani sana sikumbuki kama nilikua na umri ila huu mjadala wetu naona kabisa hatumalizi leo wala kesho acha nitafute siku nije TMK tubadilishane mawazo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…