myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh!Yaani ukitumia hivyo vifaa halafu ukavaa pichu kama hii, weee!!! View attachment 1382473
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!Yaani ukitumia hivyo vifaa halafu ukavaa pichu kama hii, weee!!! View attachment 1382473
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu mkononi.....
Ule ulioshika kikombe kama cha maziwa na tende😀😀
Ulitaka kunipakazia kwenye huo mkono mweusi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana alikuwa bado hajazaliwa Bro.. Ongezea Simba hiyo iliyokuwa bora kwa kila idara ilifanikiwa kufika fainali ya Kombe la washindi barani Africa sasa hv linaitwa Kombe la shirikisho, na kwenye mchezo wa fainali ilikutana na timu moja toka Ivory Coast..
Kabla ya fainali hii wachezaji wa Simba waliahidiwa kila mchezaji kupewa gari(nmesahau aina ya gari, ni miaka mingi imepita, uzee huu)
Mwisho wa siku Simba ilipoteza kwenye fainai iliyopigwa kwenye dimba la taifa na kikubwa zaidi wanadai ilifanyika hujuma kwani Simba ile kubeba ubingwa ilikuwa ni kawaida tu sema ndio hvyo Boss wa Simba wakat ule alijistukia kutoa ile zawadi kwa hyo Simba ikapoteza ile game...
Mnafurahisha sana aisee. Mtu kama hawajui anaweza kudhani kweli mlikuwepo kumbe 1992 wengine ama ndo mlikuwa mnakamua makimba kwenye nepi au mlikuwa hata hamjulikani mliko...Nakumbuka bro..... hapo mgeni Rasmi kwenye hiyo game alikua ni Rais wa Jamuhuri ya muungano enzi hizo mzee Ally Hassan Mwinyi, na hapo ndipo ile kauli ya Tanzania Kichwa cha mwendawazimu ilianzia baada ya kukosa lile kombe Rais Mwinyi alitoa hiyo kauli....
Simba kilicho waangusha kwenye ile game ni imani za kishirikina maana usiku kabla ya game wachezaji hawakulala usiku kucha walikua wanapikwa, hiyo ilisababisha uchovu wa wachezaji siku ya mechi.
Umenikumbusha mbali mzee mwenzangu maana siku hiyo nilikua pale Shamba la bibi nikishuhudia mtanange live bila chenga
Kukamia ndo mwanzo wa kuchemsha....Kukamia [emoji3].... Aisee
Noma sana