Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Kijana alikuwa bado hajazaliwa Bro.. Ongezea Simba hiyo iliyokuwa bora kwa kila idara ilifanikiwa kufika fainali ya Kombe la washindi barani Africa sasa hv linaitwa Kombe la shirikisho, na kwenye mchezo wa fainali ilikutana na timu moja toka Ivory Coast..Bro mwaka 1993 ulikuwa na umri gani?
Nataka nikwambie bro, huo ndiyo mwaka ambao Simba ilikuwa na kikosi bora kuliko wakati wote, haikuwa na Manula ilikuwa na Mwameja, haikuwa na Wawa ilikuwa na Masatu, haikuwa na Chama ilikuwa na Ramadhani Leny, haikuwa na Kagere wala Kahata ilikuwa na Edward Chumila na Malota Soma.
Bro mafanikio yote ya Simba yalikuwa mwaka huo, rekodi za Simba za mwaka huo hazijavunjwa.
Lakini kikosi kikali cha Simba mwaka huo kilikuwa cha wazawa watupu.
Bro siyo kweli kwamba kila mchezaji anayenunuliwa kwa bei chafu huwa na uwezo mkubwa, haipo hivyo Duniani kote, kulithibitisha hilo nina ushahidi mwingi tu ukipenda nitauweka hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
"Acheni kukomoa watoto wa watu na nyie wake zenu wanakomolewa"Kwani umeelewa kukomoaje?
Nmeambiwa ntaharbu, bado sijapata jibu hyo chai yake iko na niniHebu kainywe kesho hiyo utupe mrejesho?
Sikusema kukomoa ... kasome tenaπ"Acheni kukomoa watoto wa watu na nyie wake zenu wanakomolewa"
Hapo ata sijui kukomoa gani tu? π
Nakumbuka bro..... hapo mgeni Rasmi kwenye hiyo game alikua ni Rais wa Jamuhuri ya muungano enzi hizo mzee Ally Hassan Mwinyi, na hapo ndipo ile kauli ya Tanzania Kichwa cha mwendawazimu ilianzia baada ya kukosa lile kombe Rais Mwinyi alitoa hiyo kauli....Kijana alikuwa bado hajazaliwa Bro.. Ongezea Simba hiyo iliyokuwa bora kwa kila idara ilifanikiwa kufika fainali ya Kombe la washindi barani Africa sasa hv linaitwa Kombe la shirikisho, na kwenye mchezo wa fainali ilikutana na timu moja toka Ivory Coast..
Kabla ya fainali hii wachezaji wa Simba waliahidiwa kila mchezaji kupewa gari(nmesahau aina ya gari, ni miaka mingi imepita, uzee huu)
Mwisho wa siku Simba ilipoteza kwenye fainai iliyopigwa kwenye dimba la taifa na kikubwa zaidi wanadai ilifanyika hujuma kwani Simba ile kubeba ubingwa ilikuwa ni kawaida tu sema ndio hvyo Boss wa Simba wakat ule alijistukia kutoa ile zawadi kwa hyo Simba ikapoteza ile game...
Mimi nilimuuliza King swali hilohilo inawekwa nini hiyo chai?Nmeambiwa ntaharbu, bado sijapata jibu hyo chai yake iko na nini
Kukamia π.... AiseeSikusema kukomoa ... kasome tenaπ
..inashangaza akili inapokupeleka eeh juu ya alkasusu
Upo vizuri kumbe, nisamehe mzee kwa hilo...umri umetutupa mkono.Nakumbuka bro..... hapo mgeni Rasmi kwenye hiyo game alikua ni Rais wa Jamuhuri ya muungano enzi hizo mzee Ally Hassan Mwinyi, na hapo ndio ile kauli ya Tanzania Kichwa cha mwendawazimu ndipo ilianzia baada ya kukosa lile kombe Rais Mwinyi ndio alitoa hiyo kauli....
Simba kilicho waangusha kwenye ile game ni imani za kishirikina maana usiku kabla ya game wachezaji hawakulala usiku kucha walikua wanapikwa, hiyo ilisababusha uchovu wa wachezaji siku ya mechi.
Umenikumbusha mbali mzee mwenzangu maana siku hiyo nilikua pale Shamba la bibi nikishuhudia mtanange live bila chenga
Anatakiwa kujibu hili swali, tatzo anakwepaMimi nilimuuliza King swali hilohilo inawekwa nini hiyo chai?
Bro mwaka 1993 ulikuwa na umri gani?
Nataka nikwambie bro, huo ndiyo mwaka ambao Simba ilikuwa na kikosi bora kuliko wakati wote, haikuwa na Manula ilikuwa na Mwameja, haikuwa na Wawa ilikuwa na Masatu, haikuwa na Chama ilikuwa na Ramadhani Leny, haikuwa na Kagere wala Kahata ilikuwa na Edward Chumila na Malota Soma.
Bro mafanikio yote ya Simba yalikuwa mwaka huo, rekodi za Simba za mwaka huo hazijavunjwa.
Lakini kikosi kikali cha Simba mwaka huo kilikuwa cha wazawa watupu.
Bro siyo kweli kwamba kila mchezaji anayenunuliwa kwa bei chafu huwa na uwezo mkubwa, haipo hivyo Duniani kote, kulithibitisha hilo nina ushahidi mwingi tu ukipenda nitauweka hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana alikuwa bado hajazaliwa Bro.. Ongezea Simba hiyo iliyokuwa bora kwa kila idara ilifanikiwa kufika fainali ya Kombe la washindi barani Africa sasa hv linaitwa Kombe la shirikisho, na kwenye mchezo wa fainali ilikutana na timu moja toka Ivory Coast..
Kabla ya fainali hii wachezaji wa Simba waliahidiwa kila mchezaji kupewa gari(nmesahau aina ya gari, ni miaka mingi imepita, uzee huu)
Mwisho wa siku Simba ilipoteza kwenye fainai iliyopigwa kwenye dimba la taifa na kikubwa zaidi wanadai ilifanyika hujuma kwani Simba ile kubeba ubingwa ilikuwa ni kawaida tu sema ndio hvyo Boss wa Simba wakat ule alijistukia kutoa ile zawadi kwa hyo Simba ikapoteza ile game...
Nakumbuka bro..... hapo mgeni Rasmi kwenye hiyo game alikua ni Rais wa Jamuhuri ya muungano enzi hizo mzee Ally Hassan Mwinyi, na hapo ndipo ile kauli ya Tanzania Kichwa cha mwendawazimu ilianzia baada ya kukosa lile kombe Rais Mwinyi alitoa hiyo kauli....
Simba kilicho waangusha kwenye ile game ni imani za kishirikina maana usiku kabla ya game wachezaji hawakulala usiku kucha walikua wanapikwa, hiyo ilisababisha uchovu wa wachezaji siku ya mechi.
Umenikumbusha mbali mzee mwenzangu maana siku hiyo nilikua pale Shamba la bibi nikishuhudia mtanange live bila chenga
π π π π πUpo vizuri kumbe, nisamehe mzee kwa hilo...umri umetutupa mkono.
Kweli kabsa kichwa cha mwendawazimu kilianzia hapo..
Dah, umenikumbusha mbali kweli mzee mwenzangu, wakati wa fainali hii ndio naingia mjini kwa kudandia yale ma FIYAT..
Ooh! Siku zinakimbia sana mzee hili tukio kama juzi tu hapa lakini ni miaka kibao imepitaUpo vizuri kumbe, nisamehe mzee kwa hilo...umri umetutupa mkono.
Kweli kabsa kichwa cha mwendawazimu kilianzia hapo..
Dah, umenikumbusha mbali kweli mzee mwenzangu, wakati wa fainali hii ndio naingia mjini kwa kudandia yale ma FIYAT..
Upo vizuri kumbe, nisamehe mzee kwa hilo...umri umetutupa mkono.
Kweli kabsa kichwa cha mwendawazimu kilianzia hapo..
Dah, umenikumbusha mbali kweli mzee mwenzangu, wakati wa fainali hii ndio naingia mjini kwa kudandia yale ma FIYAT..
Wadogo zangu nawavulia kofia.Ooh! Siku zinakimbia sana mzee hili tukio kama juzi tu hapa lakini ni miaka kibao imepita
Huwezi kuelewa kinachoongelewa hapa wewe kuwa mtazamaji tu πππ π π π π
πππππ jamani adi wewe unataka kucheza zone moja na sisi?Wadogo zangu nawavulia kofia.
Tutakua hatuwahadithii tena haya mambo.
Be blessed broUsiku mwema wakuu.
AiseeMAKOSA 7 TUNAYOFANYA WAKATI WA KUNYOA SEHEMU ZA SIRI
Tuanze moja kwa moja kwamba si kosa kunyoa au kuacha nywele zetu za sehemu za siri.