Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwa nini alitumia feki?Nyota wa zamani wa Brazil na Barcelona, Ronaldino alikamatwa na polisi kwa kosa la kutumia hati feki ya kusafiria kuingia nchini Paraguay.
Inasemekana hati yake halisi ipo mikononi mwa mamlaka ya brazil. Sijafatilia chanzo hasa cha kunyang'anywa hizo document. Halafu dinyo ni mtu wa bata sanaKwa nini alitumia feki?
Hela hizi wanajisahau sana.. sasa mtu maarufu hivyo hati feki lazma ubambweInasemekana hati yake halisi ipo mikononi mwa mamlaka ya brazil. Sijafatilia chanzo hasa cha kunyang'anywa hizo document. Halafu dinyo ni mtu wa bata sana