myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Safiii
Safiii
Na wale watoto wa kiume wanao tumia maneno kama "ko" na "tyuu" wanaweza kuwa wanaume?
Niliwahi kuwa na mdada afwande wa geshi fulani, halafu alikuwa karibu na chuo ninacho soma, umri nilimzidi ila kila akinihitahitaji lazima niwe nyumbani kwake at a right time... Aaah Angel ulinokoaga kwenye kesi ya isiyo yangu mama..."Wanaume wanatuogopa sijui kwa sababu gani"View attachment 1383513
Yamenikuta leo, yaani saa hizi...Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke
anaekupenda kiukweli.
Mwanamke anaekupenda
kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote au kukuchukulia kama chanzo cha mapato au kitega uchumi chake bali
atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako
na 'attention' yako kwake.
Inafurahisha Mkuu kuona watu mpaka wanabadili jinsi ya ulinzi wa goli kwa utaratibu uliowekwa toka enzi hizo kwa ajili ya kujikinga na mtu mmoja mtaalamuMkuu kwani habari hiyo inafurahisha kweli ?
Okey sio mbaya tupo pamoja sana
Anko si aunt yupo jaman. Kila siku yanakukuta tu hahaha