Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Ndiyo moud.Umeanza kulea?
Mambo vipi best
Kama una watoto waweza nialika nikakusaidia kulea.
Napenda Sana hii kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo moud.Umeanza kulea?
Mambo vipi best
Likesssss ,uzi wa kupeana likes hapa ni mtakuja tuPole
Hahah! Basi tuiache hiyo.... ila upo vizuri sasa hivi umeendana na jezi yako
Yah! Hivyo ndio namaanisha rafiki yangu[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] yaani kwamba id imeendana na avatar au ??
Yah! Hivyo ndio namaanisha rafiki yangu
Okey sio mbaya tupo pamoja sanaOohh yeah nimeona niweke hivyo tu rafiki
😀😀Picha bakini nazo tu.
Nawabembeleza utadhani naomba hela bwana[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo moud.
Kama una watoto waweza nialika nikakusaidia kulea.
Napenda Sana hii kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Za nini mkuu
Waambie..Hayo mengine kuhusu pesa, outing, shopping na
mengineyo unatakiwa kujiongeza wewe kama
mwanaume na sio kubweteka na kupendwa tu,
kwa
sababu mwanamke wako anahitaji matunzo vilevile.