moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
😁😁😁Baada ya wachezaji wote 11 wa Sociedad kujipanga ndani ya boksi lao la penalti wakiwa wameziba maeneo yote, Messi alionekana kuvurugwa. Hakujua apige wapi ‘frii-kiki’, akaishia kupiga ovyo na mpira ukaokolewa kiulaiini.
EwaaaHayo mengine kuhusu pesa, outing, shopping na
mengineyo unatakiwa kujiongeza wewe kama
mwanaume na sio kubweteka na kupendwa tu,
kwa
sababu mwanamke wako anahitaji matunzo vilevile.