Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nyota wa Hannover 96, Timo Hubers amekuwa ni mchezaji wa kwanza kulipwa kubainika na virusi vya ugonjwa wa corona nchini Ujerumani.

Klabu ya Hannover inasema beki wake Hubers (23), yuko chini ya uangalizi katika nyumba za wagonjwa wakati wafanyakazi wengine wote watapimwa.
 
Mkurugenzi wa michezo wa Hannover 96, Gerhard Zuber alisema: 'Timo ni mchezaji anayeishi maisha ya uangalifu mkubwa.

“Hakuonyesha dalili yoyote, hadi alipotambua kuwa moja ya watu aliokuwa nao kwenye shehere alikuwa amebainika na virusi hivyo. Aliamua kwenda kwa daktari na kwenda kwenye nyumba ya uangalizi.”

Wachezaji wote, makocha na viongozi wote watafanyiwa vipimo kwa ajili ya kutambua kama wanavirusi hivyo.
 
Things Happened after the Coronavirus outbreak 😷:- 1) Haaland stopped playing basketball and football 2) Liverpool started walking alone even at Anfield 3) Liverpool’s bird now eating lose soup 🥣 4) Anfield wifi has been revealed by Simeone 5)PSG brk up with Round of 16 and started dating quarterfinal But the only one thing that didn’t change is Simeone eliminating a team that doesn’t have Ronaldo n it .
 
Huyo simeone fwala tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ona alivyosema siku kadhaa kabla ya mechi
2316678_FB_IMG_1582372443737.jpeg.jpg
 
On Thursday, the 2005 Ballon d'Or winner was arrested in Paraguay for allegedly trying to enter the country using a fake passport along with his brother and agent Roberto de Assis Moreira.

Both Ronaldinho and his brother are sharing a cell in Agrupación Especializada of the National Police of Paraguay. It just so happens that days after one of the world's greatest footballers entered the facility, the prison are staging a futsal tournament.

At first the word was that Ronaldinho would be invited to watch although not involved, yet now ABC TV journalist Iván Leguizamón is reporting that the Brazilian is in fact able to play and already many of the team's captains have been trying to sign him up.

Extra say that the 5v5 competition normally takes place every six months in Agrupacion Especializada of the National Police of Paraguay and was planned prior to Ronaldinho's arrival.

Typically there are 194 inmates involved (no police officers because it's not Mean Machine) and split into ten different teams.

The 39-year old has looked remarkably relaxed and at ease behind bars, signing shirts and even drinking alcohol with fellow inmates.
 
As a result of the travelling restrictions between Spain and Italy imposed yesterday by the Spanish authorities, the following UEFA Europa League Round of 16 matches will not take place as scheduled tomorrow, 12 March 2020 due to Coronavirus outbreak, confirmed UEFA.
 
Back
Top Bottom