natumaini Wote hamjambo… jamani ndugu zangu kuna tabia imeingia watu wanakuja majumbani wanagonga mlango wanasema wamekuja kufanya spray ajili ya corona virus… hao Watu sio wa kweli ni Wizi,, leo hii wameingia sehem mbali mbali wameiba pesa na dhahabu… jamani waambieni watoto na house maids wasifungue milango hovyo anapogonga mtu mlango… shukran