Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anayekitaka kitabu hiki kwenye soft copy aseme. Ni cha zamani enzi zan koloni
c8ea2e547de555bf2f74ab8cce93f674.jpg
 
View attachment 537350
Mbunge wa Jimbo la Kawe Jijini Dar es Salaam Halima Mdee alikamatwa na jeshi la polisi hivi karibuni, kwa kile kinachodaiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi kuwa alitoa maneo ya uchochezi yenye kumtusi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli katika hotuba yake aliyoitoa kwa waandishi wa Habari Julai 4. Ambapo Mkuu wa Wilaya kwa mujibu wa sheria aliagiza Mbunge huyo ashikiliwe na ahojiwe kwa masaa 48 yaliyotajwa kisheria na kumpa mamlaka Mkuu wa Wilaya kufanya hivyo. Siku ambayo Mbunge huyo inabidi aachiwe na Jeshi la Polisi imeangukia kwenye sikukuu ya Saba Saba, jambo ambalo linapelekea Mbunge huyo kuendelea kusota rumande mpaka siku ya Jumatatu. . .
Yaala weeeee
 
Back
Top Bottom