Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nina Sababu nyingi za kulia ukitoa hasira
Mpira si sababu mojawapo ya Mimi kulia

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi jana Moud na Mkoka walivyo kukalia Kooni nikahisi labda ndio walikuliza 😀

Pole kama kilichokuliza kilikua na msingi maana hamkawii kulia kisa mapenzi nyinyi
 
Kweli kuna sehemu nimesoma wanasema kule channel zimebana haki zote hivyo hakuna application ya hizo series ila playstore huwa naziona japo sijajaribu kuzitafuta.

Football ikifungwa dstv nyodo kwisha mfyuuu zao
Ok basi ndio mana inakuwa tabu kuwapata kwenye line......

Ukitoa mpira Dstv kweli hawana kitu kingine kikubwa cha msingi kuwapatia wateja wake, nahisi nao wanapiga dua za kutosha Corona ipotee mana itayumbisha soko lao
 
Jana wamenizingua mfyuuu zao wamefunga channel 203 huku marudio ya liver wamebania hapo tu.
 
Ndo maana hakunaga kitabu cha kumuelezea mwanamke. Mwanamke anaweza kulia kwa sababu yoyote ile mfano wanja wake au lipstic ikivunjika ghafla. Wigi lake limeharibika,gauni limecheleweshwa kutoka kwa dobi,fund etc
Basi jana Moud na Mkoka walivyo kukalia Kooni nikahisi labda ndio walikuliza 😀

Pole kama kilichokuliza kilikua na msingi maana hamkawii kulia kisa mapenzi nyinyi
 
Basi jana Moud na Mkoka walivyo kukalia Kooni nikahisi labda ndio walikuliza [emoji3]

Pole kama kilichokuliza kilikua na msingi maana hamkawii kulia kisa mapenzi nyinyi
Wanilize kina moud ambao hawajui hata kubishana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nililie mapenzi mie[emoji1787]
Unajua Mimi ninaweza kulia hata kwa furaha...Jambo likinifurahisha ama nikasoma sehemu pakagusa hisia zangu nalia.
Mfano juzi nimeona picha ya carba,nikawa nimefurahi,machozi yakanitoka..
Nilivyoona picha yako nilifurahi nikajikuta machozi yamenitoka..
Nikisoma charting zenu hapa zikanifurahisha au kunihuzunisha nalia.

Pia nikiwa kwenye maombi na Sala zangu za Kila siku machozi huwa yananitoka..
Hasa usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanilize kina moud ambao hawajui hata kubishana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nililie mapenzi mie[emoji1787]
Unajua Mimi ninaweza kulia hata kwa furaha...Jambo likinifurahisha ama nikasoma sehemu pakaguza hisia zangu nalia.
Mfano juzi nimeona picha ya carba,nikawa nimefurahi,machozi yakanitoka..
Nilivyoona picha yako nilifurahi nikajikuta machozi yamenitoka..
Nikisoma charting zenu hapa zikanifurahisha au kunihunisha nalia.

Pia nikiwa kwenye maombi na Sala zangu za Kila siku machozi huwa yananitoka..
Hasa usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyakyusa orijino,machozi nje nje
 
Lakini baada ya mgogoro huo kushika kasi Man United ilikuwa tayari kumuuza Pogba kwa dau lisilopungua Pauni 100 milioni kwenda Juventus mwishoni mwa msimu hasa baada ya kunasa huduma ya kiungo mpya Bruno Fernandez ambaye ameanza kuwarejesha Mashetani Wekundu kwenye mstari.
 
Ndo maana hakunaga kitabu cha kumuelezea mwanamke. Mwanamke anaweza kulia kwa sababu yoyote ile mfano wanja wake au lipstic ikivunjika ghafla. Wigi lake limeharibika,gauni limecheleweshwa kutoka kwa dobi,fund etc
Yaani Mimi ninaweza kuona watoto wanacheza kwa furaha,machozi yakanitoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom