Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kweli kuna sehemu nimesoma wanasema kule channel zimebana haki zote hivyo hakuna application ya hizo series ila playstore huwa naziona japo sijajaribu kuzitafuta.Nahisi bado wapo nyuma sana kujiweka katika soko la kimataifa
Basi jana Moud na Mkoka walivyo kukalia Kooni nikahisi labda ndio walikuliza 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nina Sababu nyingi za kulia ukitoa hasira
Mpira si sababu mojawapo ya Mimi kulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok basi ndio mana inakuwa tabu kuwapata kwenye line......Kweli kuna sehemu nimesoma wanasema kule channel zimebana haki zote hivyo hakuna application ya hizo series ila playstore huwa naziona japo sijajaribu kuzitafuta.
Football ikifungwa dstv nyodo kwisha mfyuuu zao
Jana wamenizingua mfyuuu zao wamefunga channel 203 huku marudio ya liver wamebania hapo tu.Ok basi ndio mana inakuwa tabu kuwapata kwenye line......
Ukitoa mpira Dstv kweli hawana kitu kingine kikubwa cha msingi kuwapatia wateja wake, nahisi nao wanapiga dua za kutosha Corona ipotee mana itayumbisha soko lao
😄😄😄😄 #lastborn wa #kishua una tabu sana, yaani kuwanunia na kuwafyonza Dstv kisa wamefunga channel ya Cartoon?Jana wamenizungua mfyuuu zao wamefunga channel 203 huku marudio ya liver wamebania hapo tu.
Basi jana Moud na Mkoka walivyo kukalia Kooni nikahisi labda ndio walikuliza 😀
Pole kama kilichokuliza kilikua na msingi maana hamkawii kulia kisa mapenzi nyinyi
Hehehheee kwenda ningekua lastborn raha sana,sema kapo tena ni kama wewe tu kakirudi likizo busy na channel moja ya watoto,chips sana😄😄😄😄 #lastborn wa #kishua una tabu sana, yaani kuwanunua na kuwafyonza Dstv kisa wamefunga channel ya Cartoon?
🏃♂️🏃♂️
Wanilize kina moud ambao hawajui hata kubishana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi jana Moud na Mkoka walivyo kukalia Kooni nikahisi labda ndio walikuliza [emoji3]
Pole kama kilichokuliza kilikua na msingi maana hamkawii kulia kisa mapenzi nyinyi
Hahah! 😄😄😄 noma sana....Ndo maana hakunaga kitabu cha kumuelezea mwanamke. Mwanamke anaweza kulia kwa sababu yoyote ile mfano wanja wake au lipstic ikivunjika ghafla. Wigi lake limeharibika,gauni limecheleweshwa kutoka kwa dobi,fund etc
Nyakyusa orijino,machozi nje njeWanilize kina moud ambao hawajui hata kubishana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nililie mapenzi mie[emoji1787]
Unajua Mimi ninaweza kulia hata kwa furaha...Jambo likinifurahisha ama nikasoma sehemu pakaguza hisia zangu nalia.
Mfano juzi nimeona picha ya carba,nikawa nimefurahi,machozi yakanitoka..
Nilivyoona picha yako nilifurahi nikajikuta machozi yamenitoka..
Nikisoma charting zenu hapa zikanifurahisha au kunihunisha nalia.
Pia nikiwa kwenye maombi na Sala zangu za Kila siku machozi huwa yananitoka..
Hasa usiku
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Mimi ninaweza kuona watoto wanacheza kwa furaha,machozi yakanitoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo maana hakunaga kitabu cha kumuelezea mwanamke. Mwanamke anaweza kulia kwa sababu yoyote ile mfano wanja wake au lipstic ikivunjika ghafla. Wigi lake limeharibika,gauni limecheleweshwa kutoka kwa dobi,fund etc
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani Mimi ninaweza kuona watoto wanacheza kwa furaha,machozi yakanitoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nani sasa?