Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata hivyo, vyanzo vimeeleza kuwa kwenye dili la mkataba huo mpya, Man United inapanga kumlipa Pogba mshahara wa Pauni 400,000 kwa wiki. Kwa sasa Pogba aliyetua Man United kwa dau la rekodi ya Pauni 89 milioni mwaka 2016, analipwa mshahara wa Pauni 300,000 kwa wiki.
 
Woow! 😳

Hapo sawa Anne nimekuelewa vizuri kabisa
 
Spurs ambayo kwa sasa kwenye msimamo wa Ligi Kuu England ipo nafasi ya nane, ilichapwa nje ndani na RB Leipzig ya Ujerumani na kutupwa nje ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa jumla ya mabao 4-0. Ikiwa nyumbani Uwanja wa Tottenham jijini London ilichapwa bao 1-0 kisha juzi Jumanne usiku ikaangushiwa kipigo cha 3-0.
 
Awali, Mourinho alitangaza kuwa anakwenda kushambulia na kuzuia mwanzo mwisho, lakini mpango wake huo ulitibuliwa ndani ya dakika 21 tu baada ya Marcel Sabitzer kupachika mabao mawili ya harakaharaka kabla ya Emil Forsberg kumaliza kazi dakika za lala salama kwa kupiga la tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…