[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah wapii!
😂😂😂😂inaonekana wasukuma kama mutawapa priorities kwenye ishu za msingi basi Tanzania itasonga mbele..
wanaweza kujipiga picha wakiwa chooni wanakata gogo kiutani utani.
wanaweza kujaribu kuonja ladha ya sumu kiutani utani..
anaweza kumuacha mke kiutanii utani...
anaweza kulipa milioni 40 kiutani utani.
anaweza kutoa kauli ya kufyatua kiutani utani.
anaweza kujiambukiza corona kiutani utani ili afahamu madhila ya ugonjwa huo.
wenye kabila hili nawaomba radhi kama itakuwa nimewakosea
😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakuwa unahusika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapenda mpira mtaponea wapi??
huenda afya yake ni imara sana kwenye huo ulimwengu na anatamani awe mwanadamu wa kawaida (mwenye uhuru wa kufanya tendo hilo muda wowote anaojisikia hususani na wasichana warembo na si msichana mrembo).Huyu jamaa anapenda sana mambo ya viuno
no problema for meeeee........ i want to kutafuta CD za wakorea in order to remove my corona stressimagine my life without football for three weeks 😭😭
Tutegemea wazee wa connection watukomboe kila week washushe vituimagine my life without football for three weeks 😭😭
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ipo mpya ya abdukiba ila sijaitafuta mieTutegemea wazee wa connection watukomboe kila week washushe vitu