Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndiyo maana Rashford amehusika moja kwa moja katika mabao saba kati ya 10 ambayo Man United imefunga kwa kutumia mfumo wa 4-2-3-1 katika mechi kubwa. Lakini, baada ya kuumia na kukosa mechi tatu za mwisho dhidi ya timu kubwa, mfumo wa 3-5-2 umetumika kuibeba timu.
 
Licha, ya kutumia mifumo hii miwili, Man United imekuwa ikibadilisha aina ya uchezaji kutokana na ubora na udhaifu wa timu pinzani, mfano dhidi ya Liverpool, mabeki wote wa pembeni walikabia juu kidogo kuzuia Alexander-Arnold na Robertson kufika sehemu za kupiga krosi.
 
kazi kwako...... kama matajiri mfano wa arteta, mke wa waziri mkuu wa canada wanapata ugonjwa wa mafua sembuse hamida kichupi na bakari kichogo....

1000 kwa kila kidonge na bakuli la urojow nakupa suprise
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kisha katika ushindi wa juzi wa mabao 2-0, dhidi ya Man City, mawing-backs walikuwa na majukumu tofauti, upande wa kushoto, Brandon Williams alisogezwa juu zaidi kumdhibiti Joao Cancelo asipande ili kumtenga Phil Foden. Kulia, Oleksandr Zinchenko hana madhara hivyo, Aaron Wan-Bissaka alipewa jukumu la kudili na Raheem Sterling tu, ambapo alifanikiwa kumpokonya mipira mara nane. Kitendo cha kukabia chini sana huku Williams akiwa juu kilifanya mfumo 3-5-2 kuna wakati ubadilike hadi kuwa kama 4-3-3.
 
Kwenye kushambulia mfumo wa 3-5-2 unatoa nafasi ya kutumia nafasi zilizoachwa wazi katika nusu ya adui, hii ilitoa nafasi kwa washambuliaji wawili kutanua Uwanja na kupita kati ya mabeki pembeni na kati ya Man City, zile nafasi ndiyo huzaa mabao katika mfumo wa 3-5-2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…