myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wasafiri wote mfike salama..
Mnaubinafsi sana nyie watu sema tu chama ndio kinaanza laa sivyo tungeshawafanya kama Membe 😄Mbona hivyo jamani, toa upande uber😂😂
ndioo wewe, 🙁😃😃😃😃 mimi huyu?
Unanisingizia mimi ata siringi 😀ndioo wewe, 🙁
Anne alikuita hadi akakasirika ujue, 😂 😂 😂 😂Mnaubinafsi sana nyie watu sema tu chama ndio kinaanza laa sivyo tungeshawafanya kama Membe 😄
Washa mwendokasi kama huringi😎Unanisingizia mimi ata siringi 😀
Ameen nimejawa hofu ghafla.tunajifariji tu mpendwa.....Mola atusitiri waja wake kwa kweli
AmeeenMungu atupe afya na uzima..
Mimi hata simjui.Kafanya nini maana tangu asubuh unamtaja
#naombanamiminione
Pole sana Mpendwa, kiujumla hizi sio habari nzuri hata kidogo kwa nchi zetu za afrika...Tuombeane tu.!Ameen nimejawa hofu ghafla.
Hahah! Nililala mapema, kwani hujui?Anne alikuita hadi akakasirika ujue, 😂 😂 😂 😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora umeshtuka mapema maana sikawii kukupachika scandal ... hahah
#imeishahiyo
Mwambie huyo[emoji3]Anne alikuita hadi akakasirika ujue, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]