myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mnaubinafsi sana nyie watu sema tu chama ndio kinaanza laa sivyo tungeshawafanya kama Membe πMbona hivyo jamani, toa upande uberππ
ndioo wewe, πππππ mimi huyu?
Unanisingizia mimi ata siringi πndioo wewe, π
Anne alikuita hadi akakasirika ujue, π π π πMnaubinafsi sana nyie watu sema tu chama ndio kinaanza laa sivyo tungeshawafanya kama Membe π
Washa mwendokasi kama huringiπUnanisingizia mimi ata siringi π
Ameen nimejawa hofu ghafla.tunajifariji tu mpendwa.....Mola atusitiri waja wake kwa kweli
AmeeenMungu atupe afya na uzima..
Mimi hata simjui.Kafanya nini maana tangu asubuh unamtaja
#naombanamiminione
Pole sana Mpendwa, kiujumla hizi sio habari nzuri hata kidogo kwa nchi zetu za afrika...Tuombeane tu.!Ameen nimejawa hofu ghafla.
Hahah! Nililala mapema, kwani hujui?Anne alikuita hadi akakasirika ujue, π π π π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora umeshtuka mapema maana sikawii kukupachika scandal ... hahah
#imeishahiyo
Mwambie huyo[emoji3]Anne alikuita hadi akakasirika ujue, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]