Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Itawezekq na kuna miujizaAiseee kuna watu wana moyo jaman. Ushawahi ona wapi meli ikapaki airport
Itawezekq na kuna miujizaAiseee kuna watu wana moyo jaman. Ushawahi ona wapi meli ikapaki airport
HahahahaMpime afya ya mioyo yenu kabla ya kupaka vumbi la Kongo, Mkuyati au kufakamia maViagra. Vinginevyo mtaendelea kufia kwenye guest houses na kuwa front pages kwa Shigongo!![]()
Mkuu unashangaa meli airport wakati kuna mabasi ya Dar to Zanzibar[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna lisilo wezekanaAiseee kuna watu wana moyo jaman. Ushawahi ona wapi meli ikapaki airport
HahahahaIv hiyo katundikiwa. Sikukuu huyu imemkuta vibaya (msije mkasema ni Msukuma!)![]()