Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] natamani nitoe kauli kama ile ya Anko
Ya mchana kutoka kwa yule wa shambani imenipita hivi hivi, kitendo cha kufuta miwani na kurudishia kitu kimefutwa...

Maongezi yenu yalionyesha kuna baraka mbele, hata sijui nimejichanganya wapi maskini mimi.... Nashangaa tu "Davet totoo"...kila nikipepesa macho sioni kitu...
Nyie watoto mtaniua kwa kweli mwee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anko huyooo ....haha eti kufuta miwani
 
Ya mchana kutoka kwa yule wa shambani imenipita hivi hivi, kitendo cha kufuta miwani na kurudishia kitu kimefutwa...

Maongezi yenu yalionyesha kuna baraka mbele, hata sijui nimejichanganya wapi maskini mimi.... Nashangaa tu "Davet totoo"...kila nikipepesa macho sioni kitu...
Nyie watoto mtaniua kwa kweli mwee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole ankoo.
Niliweka tu maparachichi wakawa wanasema mkono.
Leo nimeamka asubuhi nikawahi kuchuma maparachichi..Raha ya kukaa vijijini mbeya..mnakaa na mashamba nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya mchana kutoka kwa yule wa shambani imenipita hivi hivi, kitendo cha kufuta miwani na kurudishia kitu kimefutwa...

Maongezi yenu yalionyesha kuna baraka mbele, hata sijui nimejichanganya wapi maskini mimi.... Nashangaa tu "Davet totoo"...kila nikipepesa macho sioni kitu...
Nyie watoto mtaniua kwa kweli mwee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ankooo hi![emoji137][emoji137]
 
Kuna watu wameachwa hapa hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ankoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeumizwa tena!!!
IMG_20200311_180435.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom