carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Sio haki kabisa ankooNyumbani kwema ila humu ni maumivu makubwa.Kunyanyapaliwa kwingi, yaani hatupendani kwa kweli... Mtu upo hapa hapa unaachwa uteseke, kweli?!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina[emoji120][emoji120]Ni kwa ajili ya kurefresh macho na kukuombea baraka za Mungu tele[emoji7][emoji7][emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hajawahi kuachwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anne una nini lakin.?
Wala...
Naumia mimi jamaniPole Jamani, alivyoweka na kutoa chap kama wewe vile....kadhurii
PoleWala...
Nipo hapa hapa pembeni ya mlima ulio jaa minara halafu network zero
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaniii[emoji134][emoji134][emoji134]Ikiwezekana asipewe kabisa.
Anashangaaje mjini hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anne basi yatoshaa[emoji23][emoji23]Aisee.
Kuna picha za kupitwa ila sio hii ya Leo[emoji91][emoji91][emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani unateseka natamani nikupe backup ila basi tuUmeona ninavyoteseka sasa?[emoji16][emoji16]
Bora totoo kalala
Hizi sifa ninayeteseka ni mimi na ankoo[emoji23][emoji23]Mimi huwa siqoute anne, isije ikapoteaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona vya pink
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfyuu zenu
Wacha nikale ugali mie.Anne basi yatoshaa[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ili niwafaidishe!??
Thubutuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole yako basi iwe huruma, sio mna weka na kutoa, wengine tunaumia. Mnataka tukimbilie wapi?
Mimi Nina picha zangu nyingi tu huko juuPole yako basi iwe huruma, sio mna weka na kutoa, wengine tunaumia. Mnataka tukimbilie wapi?
Kama ni siku ya baraka niiteni kimya kimya "Ankoo leo kuna upako njoo"
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio haki kabisa ankoo
Watoto hawana adabu kabisa hawa[emoji23][emoji23]
[emoji2088][emoji2088]Hizi sifa ninayeteseka ni mimi na ankoo[emoji23][emoji23]
Hajaweka kituAnkoo hata mimi wameniumiza kwakweli[emoji24][emoji24]
Hata asubuhi nilikuwepo hata sijui nimeachwaje [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Tatizo ulienda kushangaa manyoya ya asubuhi ..matokeo yake umerudi na kukuta manyoya mengine.
Ukifika humu unaanzia mwisho kuangalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka alafu utoe[emoji28][emoji28]