Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Saint Anne naona leo maisha umeyapatia
Ngoja niongeze furaha yako[emoji23][emoji23][emoji23]
71dc21f4cc963046282398f474334ce3.jpeg
 
inaonekana wasukuma kama mutawapa priorities kwenye ishu za msingi basi Tanzania itasonga mbele..

wanaweza kujipiga picha wakiwa chooni wanakata gogo kiutani utani.
wanaweza kujaribu kuonja ladha ya sumu kiutani utani..
anaweza kumuacha mke kiutanii utani...
anaweza kulipa milioni 40 kiutani utani.
anaweza kutoa kauli ya kufyatua kiutani utani.
anaweza kujiambukiza corona kiutani utani ili afahamu madhila ya ugonjwa huo.

wenye kabila hili nawaomba radhi kama itakuwa nimewakosea
Wasukuma siyo watuuuu [emoji351][emoji351][emoji351][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Back
Top Bottom