Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zito Kabwe amechaguliwa kuongoza tena chama cha ACT Wazalendo baada kupata kura 276, sawa na asilimia 73, dhidi ya mpinzani wake Ismail Jussa Ladhu aliyepata kura 91.
Seif Shariff Hamad amechaguliwa kama Mwenyekiti wa chama hicho kwa kupata kura 337 dhidi ya kura 20 za mpinzani wake Yeremia Maganja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…