Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mojawapo ya faida za Caffeine' ni kuongeza uwezo wa kujifunza na kumbukumbu.
UmerudiaTafiti zimedai muziki unaweza kuamsha hali nzuri (good mood) na kuondoa sonona (depression). Husaidia pia mzunguko mzuri wa damu, kupunguza viwango vya mkazo (stress) na kupunguza maumivu.
Kama kawaida.ili somo lieleweke vyemaUmerudia
Au ni msisitizoKama kawaida.ili somo lieleweke vyema
NdioAu ni msisitizo
Mimi nimeona sehemu aliyosema mwaka huo mama yake alikuwa hajaolewaMbona alidai hapo juu kuwa umezaliwa 1980
Aisee! Sio poa wewe hiyo gharama inastahili kabisa 😄Kisiwa Cha Mnemba, Zanzibar.
Bei ya chumba kwa usiku mmoja huanzia TZS Milioni 5.3 na ukomo wa wateja ni 24.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimeona sehemu aliyosema mwaka huo mama yake alikuwa hajaolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka mali ya wenye mali 😄Kaka chakula[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni nani huyo mnamsemeaKaka mali ya wenye mali 😄