moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Biashara ni tendo lililohalalishwa na faida yake imehalalika bila kujal kikomo cha faida.
Riba imeharamishwa bila kujali wingi au uchache wake.
Aliyeharamisha Kamari na riba nyinginezo ni Mwenyezi Mungu na aliyehalalisha biashara ni yeye pia.
Kwahiyo siwezi kumuingilia kujua sababu ingawa mwenyewe anasema riba ni dhulma

Basi nijibu kwa misingi ya dini
Kwanini Sheria inaruhusu biashara nyingine na kukataza biashara ya riba?