Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tumboni mwa Mama watoto wote huanza kwa kuwa Wasichana kwanza, Utengano wa kijinsia hutokea baada ya kromosomu Y kupata nafasi ya kurutubisha ndipo hubadilisha jinsia na kuwa ya kiume. Kama hakutakuwa na Kromosomu Y jinsia hubaki vile vile ya kike.
 
Mojawapo ya sababu wanaume kuwa na matiti ni kwa sababu watoto wote tumboni mwa mama hatua za mwanzo huanza kua na jinsia ya kike, Kama Kromosomu Y atashindwa kufanya urutubishaji kwa baadae ni maalum kwaajili ya kuongezeka ukubwa zaidi na kumsaidia mwanamke katika unyonyeshaji lakini kama itafanya urutubishaji na kubadili jinsia hubakia hivyo hivyo na ndio maana Wanaume wana matiti.
 
Back
Top Bottom