The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
[emoji23][emoji23] salamu zimfikie AnneHongera Yanga Afrika kwa kupata droo.
Najua wiki iliyopita mlifungwa, kwa hiyo droo kwenu ni mshindi mkubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] salamu zimfikie AnneHongera Yanga Afrika kwa kupata droo.
Najua wiki iliyopita mlifungwa, kwa hiyo droo kwenu ni mshindi mkubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Skendo hapa nataka kupewa kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]mi nawatizama tu
Yaani anne na Kd siwaelewi[emoji23][emoji23]
Kwani mwenyekiti anasemaje.?[emoji23][emoji23]Kuna Skendo hapa nataka kupewa kabisa
Tupate uhakika wa huyo chizi kwanza maana hatabirikiKwahyo #SPST leo itaoneshwa chanel gan??[emoji23]
Hips[emoji91][emoji91][emoji91]Leo ni kujiachia tu[emoji23][emoji23]
Malaika na mfalme wa wafalme akishuka duniani kuchukua walio wake. Nuru ikiwa katikati yake na ukombozi mkononi mwake
Mwenyekiti naona hajaamua kufunguka bado anajizungusha, kwani wewe unataka kusema nini? 😄Kwani mwenyekiti anasemaje.?[emoji23][emoji23]
Kwahiyo sisi vimbau mbau, ndio tunapata tabu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenyekiti naona hajaamua kufunguka bado anajizungusha, kwani wewe unataka kusema nini? [emoji1]
Acha matumizi binafsi[emoji23][emoji23][emoji23]Mwenyekiti naona hajaamua kufunguka bado anajizungusha, kwani wewe unataka kusema nini? [emoji1]