Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kiongozi umeamua kuniwekea maneno mdomoni😁😁😁
Ila sio hivo, sipendi tu kujaza makomenti mengi ambayo hayana maana kwa msomaji
Acha nikuwekee maneno ili ieleweke kirahisi mzee 😄 mana ukikomaa na huu utetezi wako hutoeleweka kabisa mana hauna mashiko....

Humu kuwa free tu hakuna noma kila unachopost kina maana ilimradi kisiwe matusi au kumdhalilisha mtu....

#Enjoylikes
 
FB_IMG_1584289825482.jpeg
 
Back
Top Bottom