Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu unawaquote au kuwatumia message leo wanajibu baada ya wiki mbili, angekutana nao hao si angejinyonga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Njiwa wake manati ya nini Anko?
Kiherehre icho
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe maneno yale amekuwea? Davet acha fujoKiongozi umeamua kuniwekea maneno mdomoni[emoji16][emoji16][emoji16]
Ila sio hivo, sipendi tu kujaza makomenti mengi ambayo hayana maana kwa msomaji
hahahahahaaaaaaaUsiku wa pip
Kiongozipamoja sana kiongozi
bibi khantweKiongozi
Mkuu
Boss
Unajua ni kiasi gani maneno haya siyapendi
Leo kwa nini nimekuwa mkali hivi[emoji85][emoji85][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha nikuwekee maneno ili ieleweke kirahisi mzee π mana ukikomaa na huu utetezi wako hutoeleweka kabisa mana hauna mashiko....Kiongozi umeamua kuniwekea maneno mdomoniπππ
Ila sio hivo, sipendi tu kujaza makomenti mengi ambayo hayana maana kwa msomaji
Ndio kawaida yako kunionea au umesahau
ππππ adi na mimi nakuogopaKiongozi
Mkuu
Boss
Unajua ni kiasi gani maneno haya siyapendi
Leo kwa nini nimekuwa mkali hivi[emoji85][emoji85][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
ng'ombe hazeeki maini..........
ππππhahahahahaaaaaaa
myoyambendi + moudgulf = ikifika saa 1 usiku munabadilisha beat ya muziki.
usiku wa pipi
usiku wa kunyonya
usiku wa .....
muna matatizo makubwa ndugu wawili
πππππ[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe maneno yale amekuwea? Davet acha fujo
Sent using Jamii Forums mobile app
ngoja mzee mkubwa arudi Tanga.....ππππ