Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ankoo umewahi kukutana na harufu ya mwanaume aliye vaa jezi ya asenali mchana wa jua kali? Au unaongelea harufu ya parachichi?
Tuacheni jamani


Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anko bana,watu wa arsenal wanapata tabu sana
 
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani unanikana mi ndugu yako kisa mwanamke?
Umesahau tulivyokuwa tunasakata rhumba pale Super Rose mtaa wa Ndalala, au tulivyosakata msondo wa NUTA pale Mundo Bar, au tulivyosakata Ndekule pale CCM kata ya 14 ?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo Stella kasema, siwezi kumpinga kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2005, Mtu mmoja alijishindia Tsh Milioni 2.3 baada ya kusoma sehemu ya Terms And Conditions' ambayo mwishoni ilikuwa ikimtaka mtu baada ya kumaliza kusoma afanye mawasiliano nao ili kupata zawadi yake. Ilichukua miezi 5 mpaka mtu kujishindia zawadi hiyo ambapo kabla zaidi ya watu 3,000 walifanya manunuzi bila kujua Ofa hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…