Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Burna Boy ameweka rekodi kwa kuwa msanii wa Afrika aliyesikilizwa zaidi kupitia mtandao wa Spotify. Burna amesikilizwa zaidi ya mara Milioni 12 kwa mwezi licha ya mtandao haufanyi kazi Nigeria na nchi nyingine 49 kwa Afrika.

Mpaka sasa Spotify kwa Afrika inapatikana Afrika Ya Kusini, Algeria, Misri, Tunisia na Morocco.
 
Paul Kern baada ya kujeruhiwa na risasi kichwani na kupelekea madhara katika sehemu ya Ubongo wake wa mbele katika Vita Ya Kwanza Ya Dunia mwaka 1915, Baada ya kutibiwa na kupona hakulala tena mpaka anakufa mwaka 1955. Miaka 40 bila Usingizi!
 
Back
Top Bottom