Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwaka 2005, Mtu mmoja alijishindia Tsh Milioni 2.3 baada ya kusoma sehemu ya Terms And Conditions' ambayo mwishoni ilikuwa ikimtaka mtu baada ya kumaliza kusoma afanye mawasiliano nao ili kupata zawadi yake. Ilichukua miezi 5 mpaka mtu kujishindia zawadi hiyo ambapo kabla zaidi ya watu 3,000 walifanya manunuzi bila kujua Ofa hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji938]
IMG-20200315-WA0007.jpeg
 
Hakuwahi kuwa na njaa, ingawa anajifanya ana njaa.
Huyu bwa mdogo alifungua duka kubwa la Hardware Chanika na biashara ilikuwa inamuendea vizuri tu.
Ni vile alizunguukwa na watu ambao walifaidika na sanaa yake kwahiyo kujiondoa kwenye fani iyo kuliwapa wakati mgumu.
Na hao ndiyo waliomshinikiza kuyarudia maasi
Na njaa mbaya sana

Kumbe
 
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani unanikana mi ndugu yako kisa mwanamke?
Umesahau tulivyokuwa tunasakata rhumba pale Super Rose mtaa wa Ndalala, au tulivyosakata msondo wa NUTA pale Mundo Bar, au tulivyosakata Ndekule pale CCM kata ya 14 ?[emoji23][emoji23][emoji23]
Dahhh!!
Viwanja vya kuvaa kandambili mkononi huku umeparamia ukuta,umesahau Keko toroli Wapi waps Bar kwenye mieleka ya akina power Mabula [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Zamani sana mzee mwenzangu,acha tu nimkane huyu binti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom