Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha, [emoji23][emoji23][emoji23]
Miye kinara wenu humu. Seventi faivu parefu sana aisee. Hasa kwa sisi wanaume wa Kiafrika...

Wewe nadhani bado unachezea midi 40s...

Ankoo wa Mwakaleli naye labda leti 40s

Wadogo zangu wa mbaaaaliiii hata mngeweza kuwa wanangu kabisa kama ningejidamka...
 
IMG_20200315_152232_6.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23] Mi mwenyewe ni kibabu siyo mchezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miye kinara wenu humu. Seventi faivu parefu sana aisee. Hasa kwa sisi wanaume wa Kiafrika...

Wewe nadhani bado unachezea midi 40s...

Ankoo wa Mwakaleli naye labda leti 40s

Wadogo zangu wa mbaaaaliiii hata mngeweza kuwa wanangu kabisa kama ningejidamka...
 
We mzee wewe, yani umesahau michezo yetu mitaa ya chang'ombe unubini zama zile, umesahau mitaa ile Haji Suleiman Haji, umeshau wakati tuko pamoja mitaa ya KJ motors, umesahau tukiwa wote mitaa yetu pendwa kwa kina nanihiii... yani kweli leo unanikana !!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenena vema binti yangu mnyenyekevu [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mzee wewe, yani umesahau michezo yetu mitaa ya chang'ombe unubini zama zile, umesahau mitaa ile Haji Suleiman Haji, umeshau wakati tuko pamoja mitaa ya KJ motors, umesahau tukiwa wote mitaa yetu pendwa kwa kina nanihiii... yani kweli leo unanikana !!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Andafoti utawajua tu[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom